Javier Mascherano signs new four-year contract with Barcelona
Staying put: Argentine international extends deal with Catalan giants
Javier Mascherano amekubali kuongeza mkataba wa miaka mnne na barcelona.
mchezaji wa zaman wa liverpool ambaye anaweza kucheza kama kiungo wakati au beki wa katikati, ambaye alikuwa akihitaji katika mji wa napoli leo hii jion ametangaza kuongeza mkataba klabuni barcelona na mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 mkataba wake utaimarika mpaka uero 100. na atabaki klabuni hapo mpaka mwaka 2018. pamoja na makataba wa mwaka mmoja wa ziada,mascherano aliyejiunga barcelona 2010 akitokea liverpool amecheza michezo 184 kwa club hiyo na 44 katika kampeni za mwaka 2013/2014.alisainiwa kama kiungo mkabaji lakin pep guardiola alimfanya beki wa katikati na ameshinda makombe makubwa 8, laliga 2 na champions league 2011. palitokea mkanganyiko juu ya kocha mpya luis henruque kwamba atamuuza kiungo huyo ambaye pia amecheza katika club ya west ham kwa sasa ataangazia macho yake katika kombe la dunia atakapo kuwa anakiongoza kikosi chake cha argentina katika ardhi ya brazil,
by priva abiud @ udom
by priva abiud @ udom
Leave a Comment