LIVERPOOL YA KLOPP NDIYO HII NINAYOITEGEMEA?

LIVERPOOL YA KLOPP NDIYO HII NINAYOITEGEMEA?
Kiu yangu
Na  Patrick Admila
October 8 mwaka jana Jurgen klopp aliteuliwa kuwa kocha mpya wa Liverpool akimrithi Brendan Rogers,,Pamoja na kwamba klopp alirithi kikosi ambacho weng walidhani ni cha kawaida na kilionekana ovyo  ila Klopp(The normal one) alibadili team nzima na wachezaji    wote karibu wote walikuwa bora na kuleta hali ya kujiamin na kila mchezaji alionekana mwenye njaa,na hatimaye akawa anashinda zile mechi muhimu na hata big games pamoja na kwamba team nyingi kubwa kama Man utd,Chelsea,Man city hazikuwa katika ubora na hata Viongoz waliamin klopp lazma irudishe liver katika ubora wake ndomaana wakakubali klopp asain tena mkataba wa miaka 6  tarehe 8july mwaka huu maana waliamin atawaletea mambo makubwa na mazuri zaid na kurudisha furaha ya Liverpool iliyokuja halafu ghafla ikapotea.Wakati naiangalia liverpool iliyofika mpaka fainali ya Europa ligi niliamin liverpool italeta challenge kubwa msimu huu na pengine kuwa miongoni mwa team zitakazofukuzia ubingwa ( Title race) na kingne nilidhan kama klopp atatumia pesa kuleta wachezaji wake katika dirisha ambalo limemalizika jana  bas liverpool itaimarika zaidi msimu huu, Dirisha la uhamisho wa wachezaji limefungwa jana na klopp alikuwa kimya kabsa nadhani anakiamini kikosi chake maana angekuwa hakiamin kikos chake mpaka jana deadline day angekuwa anahangaika.Klopp huwa ana ile spirit ya kuwapa wachezaji na ujasiri wa kupambana, Ni kweli unaweza ukatumia pesa kusajili wachezaji lakin ukaikosa hata top four lakin kujiimarisha ni muhimu zaid  na unatakiwa uwe na kikosi kipana ili kuweza kushindana vizuri,Liverpool ya klopp haionekan bora katika safu ya ulinzi kitu ambacho kinanipa wasiwas na kitu kingne jaribu kuiangalia liverpool ikiwa inacheza big games(mechi kubwa) na mechi ndogo utaona utofauti,Liverpool kuna wakati naona kama haina tofauti na ya Rodgers,hakuna consistency,liverpool ikishinda mech kubwa unaweza kuamin kweli liverpool inarud lakn mechi inayofuta ikikutana na team ndogo inafungwa yan liverpool bado inakosa ule muendelezo wa ushindi,Wakat  liverpool inaifunga Arsenal kwenye mechi ya ufunguz hakuna aliyefahan kama liverpool itafungwa mechi inayofuata na kilichotokea liverpool ilfungwa,Nikilifikiria jina la (THE NORMAL ONE) ambalo ndo anatumia klopp huwa najiuliza maswali mawili ,Je ndo linalomaanisha kuwa liverpool ni ya kawaida  inapokutana na team ndogo? Au ni kama Nickname? Approach anayotumia klopp wakat anazikabili team ndogo ni tofauti na anayotumia akikutana na team kubwa,, Bado ni mapema mno kumhukumu klopp lakn kadri muda unavyoenda nadhan hata liverpool ikimaliza kwenye Nafas za chini sitashangaa.

Nikirudi kuiangalia Tottenham inaonekana team yenye balance kuliko liverpool ya ( THE NORMAL ONE) Spurs naona wamezid kuimarika hasa kuwaongeza Wanyama na Sissoko, ni team ambayo inastahili kucheza champions league na pili hawajaondokewa na wachezaji wengi kuliko misimu iliyopita ambapo walikuwa wanawapoteza wacheza muhimu ambao ndo walikuwa wanabeba team,Sahau kuhusu Chelsea ya Antonio konte,Man utd ya Jose mourinho,Man city ya pep na Arsenal ya wenger,Kitu kiingne kinachonipa shida  ni kwamba mpaka sasa nikiangalia msimamo wa ligi ulivyo,makocha wanaoongoza ligi wote ni wageni,bado ni mapema mno lakin mwanzo ukiwa mzuri  basi lazma uwe na matarajio mazuri mwishoni,

Team ndo inacheza uwanjan na sio majina, ila jaribu kuangalia kikosi cha liver kisha iangalie Arsenal yenye manager mzoefu kwenye ligi ya England,kisha iangalie man utd,city,spurs na chelsea vikosi vyao kirahisi kabsa huwez kudhan kama watamaliza nje ya top four,City ni title contender,United  ni title contender na Chelsea ni favourite pia hizi team za united,city na chelsea huwez kuziondoa kwenye mbio za ubingwa,,
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Nilitegemea kuona team ya klopp inabadilika msimu huu kutokana na upinzan mkubwa unaotokea msimu huu wa 2016/2017,, Klopp anaondoa matumain yangu kwake taratibu japo bado ni mapema mno,,nilitarajia kuona liverpool iliyokamilika kutokana na ninavyoziamin falsafa za klopp tangu akiwa Dortmund,,klopp asimuige wenger,mzee wenger anajua namna ya kuifuta top four maana ana uzoefu wa kutosha,Klopp namuamin na ntazid kumuamin lakn mbona team yake hainishawishi kama itapambana kwa muda wote? Unadhan klopp kama akishindwa kuipeleka liverpool kwenye champions league msimu ujao bado atakuwa mgen wa ligi? Au bado anaijenga liverpool? Wengi tuliamin ujio wa klopp utafanya liver iogopwe tena na team pinzan hasa msimu huu,, lakin angalia wakubwa wote walivyo,wanaonekana kabsa kimbinu wanamzid klopp kuanzia kutafuta pointi 3 mpaka kwenye kuua mechi( Killer instincty) kitu ambacho klopp hana, klopp hata akishinda bas lazma afungwe,Alitakiwa kulifix hili tatzo kwanza la safu ya ulinzi, Unaposhinda 4 alafu ukafungwa 3 basi ni waz safu yako ya ulinzi haiko imara sana inaruhusu magoli mengi, tutakuwa tunaona mambo yanavyoenda,

Natamani kuiona liverpool ikirudisha woga lakni mbona kama klopp anataka kunivunja moyo?Liverpool nilitaka warudi moja kwa moja maana wameangaika muda mrefu kurudi kwenye ubora wao uliozoeleka kwenye miaka ya nyuma,Sitaki ile liverpool ya Rodgers maana ilikuwa na kocha ambaye hana game plan,hajui kuua mechi,,Sitaki kuiona liverpool ya klopp ikimtegemea mchezaji mmoja tu kama ile liver ya msimu mmoja iliyokuwa ikimtegemea Suarez,Na bado liverpool ilikuwa na tatzo kwenye safu ya ulinzi na ilikuwa na kocha ambaye hana game plan,, Nataka kuona liverpool ikirudi bila kusita iwe nyingine isiwe kama ya Rodgers ambaye alionekana kocha mzuri kwa kumtegemea mchezaji mmoja tu ambaye ni Suarez,Suarez alipoondoka barcelona liverpool ilikufa tena,

Naitaka liver ya klopp ikizaliwa upya na kurudisha ubabe kama ule tuliouzoea tena sio kwa msimu mmoja kama wa Rodgers.

Sportspaper.com

No comments

Powered by Blogger.