kikosi cha jeruman

kikosi cha ujeruman close ndan je atavunja record ya delima
ikumbukwe kikosi hiki sio kile cha moja kwa moja brazili ila watapnguzwa wengine 7 ili wabakie wachezaji 23... brazili tayari wao wameshataja chao ambacho baadhi ya wakongwe kama jo, fred, maicon, alves, na maxwel wameitwa huku ronaldinho mchezaj bora wa dunia mara mbili, kaka, robinho, na pato wakitemwa, wachezaj wengine walokuwepo katika confedaration kama vile, jean, moura na wengine kama raphael, kuingo hatari wa liverpool coutinho, beki wakatikati wa atletico madrid miranda na beki wa pemben fellipe luiz wakitemwa, wengine ni bastos, na ganzo, nilma na damioa pia wakitemwa...

No comments

Powered by Blogger.