je unamjua Pele
HUYU NDIO PELE HALISI
[I ].Pele alifunga jumla ya Magoli 1,283 Yote yakiwa na Viwango vya dunia,ukijumlisha goli 77 kwa Brazil ktk Mechi 92.
[II.]Pele ame nyanyua Makombe ya DUNIA ma tatu, pia two world Club championship.
[III]. Akiwa na UMRI wa miaka 17 PELE alikuwa mchezaji wa kwanza mdogo kunyanyua KOMBE LA DUNIA,huku akitupia Goli mbili dhidi ya SWEEDEN fainali.
[IV].PELE alipo Staafu MPIRA J.B Pinheiro Balozi wa Brazil Upande wa Umoja wa Mataifa aliwahi sema "PELE amecheza MPIRA kwa miaka 22 na ktk MUDA huo ,
amefanya kazi kubwa ya kupromote urafiki DUNIANI baina ya Mataifa kuliko BALOZI yeyote DUNIANI.
[V]. Tarehe 19 November 1969,Pele Alifunga Goli la 1,000 tk Maisha yake ya SOKA,Mamia ya wanasoka HUko nchini Brazil walikimbia na kuingi Uwanjanikwenda
kumshika ilichukua takribani NUSU saa kuwato watu wote ktk Pitch ili Mpira Uendelee.
[VI]. PELE Akiwa ana cheza NEW YORK COSMos,timu Pinzani waliwahi ku Ng'angania kubadilishana Jezi na yeye wote Takribani watu 30,ikabidi klabu yake iwape
Jezi wote "PELE alikuwa kivutio " kocha wa MAKOCHA Gordon Braley Aliwahi Sema, "mda mwingine ilibidi twende na Jezi 30 za ziada za PELE ktk Mechi Lasivyo hatuwezi Toka Hai uwanjani "
[VII].Mwaka 1967,masaa 48 ya kusitisha VITA huko NIGERIA yalitangazwa ili,WAASI NA WANAJESHI WA NCHI wa mcheki Pele akicheza Mpira .
[VIII]. MALKIA wa Wingereza Aliwahi Vunja Sheria Ya NCHI yake ili aweze Kuhikana MIKONO na KUalimiana Na PELE.
[IX]. SHAH (kutuka UFalme) wa IRAN aliwahi SUBIRI Airport Masaa 6 Heathrow (airPort wingereza) Aweze Kutana na PELE.
[x]. Utaweza Je ANDIKA neno PELE ? gazeti la TIMES la wingereza liliwahi Andika Simply Sema G.O.D.
[XI]. Mwaka 2000 PELE aliwahi kutajwa kuwa ndio wa PILI na BBC ktk "MWANAmichezo WA KARNE " na Alipa Zawadi akiwa nyuma Ya MUHAMEDI ALi ambe Alikuwa Wa Kwanza.
[XII]. TARCISIO BURGNICH ,BEKI wa ITALIa ambae alipewa kazi ya KUMKABA PELE ktk KOMBE la DUNIA fainaly MWAKa 1970 alikuwa na haya yakusema Baada ya MECHI
"nilijiambia mwenyewe kuwa PELE ni Binadamu kama sisi ana ngozi na mifupa lakini nilikosea".
[XIII] .CRISTIANO RONALDO aliwahi SEMA "PELE ni mchezaji bora ktk HISTORIA ya MPIRA na kutaja KUwa na PELE mmoja TUH DUNIANI".
[XIV].Campatain Wa Wingereza Aliyewahi Nyanyua KOMBE la Dunia BOBBY MOORE aliwahi Sema "PELE ndio MCHEZAJI alie Kamilika Ambae amewahi Muona Ulimwenguni.
[XV]. Ali pigiwa KUra kuwa Mchezaji wa Karne na International Olympic Cametee(IOC) mwak 1999.
[XVI]. PELE aliwahi funga "HAT TRICKS" 92 na pia kufunga GOLI 4 ktk Mechi MOJA mara 31, pia BILA kusahau GOLI TANO mara 6na MARA moja aliwahi Funga GOLI 8.
[XVII]. Anashikilia Record ya Mwanamichezo Mwenye GOLI nyingi Timu ya Taifa ,RECORD hiyoo ipo ilitamba KWA miak 40.

Leave a Comment