messi ashikwa na tumbo la ajabu
Kutoka
kule argentina inasemekana kaka messi anasumbuliwa na tatizo la kutapika ovyo
akiwa uwanjani, mchezo hasa anapokuwa timu ya taifa ka kile kinachosemakana
kuwa wapenzi wa soka nchini humo wanategemea makubwa kutoka kwa gwiji huyo wa
soka ambaye mpaka sasa ana mafanikio madogo sana kwenye timu yake ya taifa
ukilinganisha na mafanikio yake ya Barcelona na mafamikoa yake binafsi, kija
huyo aliyeondoka argentina akiwa na umri wa miaka 13 juzi alitapika uwanjani
dakina 15 tu baada ya kuifungia tmu yake taifa goal la pili,
messi
amesema kuwa katika kipindi cha hivi karibuni amekuwa akisikia kichefichefu
sana na wakati mwingine amekuwa akijisikia kutapika lakini hali hiyo inaisha
baada ya muda mfupi, ameendelea kusema kwamba atajitolea kwa uwezo wake mkubwa
na atafanya kila awezalo kuipa taji kubwa timu yake ya taifa, ila wataalamu wa
afya wamedai kuwa kitendo hicho hakitaathiri suala lake la uchezaji, ametapika
mara tatu akiwa na timu yake ya taifa, hivyo hivyo kuna taarifa kuwa mchezaji
bora wa mwaka wa afrika na timu ya taifa ya ivory coast yahya toure yupo fiti
kwa maichuano ya kombe la dunia,
mchezaji huyo aliyekosa mechi mbili za
maandalizi na timu yake ya taifa dhidi ya bosnia ametoka kuafanyiwa upasuaji
Qatar alipoenda kufanyiwa matibabu baada ya kuisaidia timu ya Manchester city
kutwaa ubingwa wa pili kwa kipindi cha misimu mitatu.ameonekana akifanya
mazoezi na wachezaji wenzake hivi leo na atakuwa tayari kwenye mchezo wao wa
kwanza dhidi ya japan
By priva
abiud @ udom
Leave a Comment