meneja wa Arsenal Arsene amewasili katika nchi ya brazil ambako atakuwa akifuatilia michuano ya kombe la dunia inayoendelea, atakuwa katika mji wa Sao Paulo ili kumuona mandzukic akiwa na timu yake ya taifa croatia ikicheza dhidi ya brazil katika mechi ya ufunguzi leo saa 5 usiku kwa masaa ya east africa,
wenger amabaye amepata kibarua katika uchambuzi wa michuano hiyo katika kituo cha televison moja ya ufaransa ila kwa taarifa zilizopo ni kwamba mandzukic hatacheza mechi ya ufunguzi akitumikia adhabu yake. mandzukic anawindwa sana babu wenger katika harakati za usajili ili kuziba pengo la ukame wa wahambuliaji bora katika klabu ya mzee wenger ambayo imekuwa ovyo sana tokea alipoondoka Thiery Henry alyetimkia barcelona, hivyo hivyo wenger bado anamfuatilia kwa karibu mshambuliaji wa timu ya taifa italy an klabu ya ac milan mario baloteli, mandzukic amekuwa akilalamikiwa sana na pep guardiola na hii utakuwa muda muafaka wa mandzukic kuondoka,,
pia kalabu ya arsenal inamrudisha carlos kwa ada ya paund 3.5

Leave a Comment