yaliyojiri sokoni ulaya

KWA UFUPI
leo sokoni
alberto kujiunga na liverpool hivi punde,
 Moreno, Spain
arsenal bado wanamatumaina na morata baada ya carlo ancelloti kusema  hana mpango nae na atafute pakwenda

hully city imethibitisha kwamba tayari wameshakubaliana na nottingham forest suala la mshambualiaj matty fraty anaejiunga na hully city bure

joe cole anakamilisha vipimo vya afya klabuni aston villa akitokea west ham
 

fiorentina wameshakamlisha usajili wa kipa kutoka romania  ciprian tatarusanu bureee

stephen darb ameongeza mkataba na bardford kwa miaka 3

QPR na Arsenal vitani juu ya baloteli

fellain kuondoka manchester united kwa bei yoyote ya hasara
TRANSFER WATCH: Chelsea's Hazard boost, Fellaini's Man Utd exit, Man City's first signing

lamela haondoki kwenda juventus meneja wa spurs amekanusha

kipa cris dunn kujiunga na cambridge united

Eden Hazard  amekanusha madai ya kujiunga na PSG na maeongeza kuwa atajitolea kwa moyo wake wote kupigania chelsea mbelgiji huyo mwenye umri wa miaka 23 na hana mpango wa kuondoka kwa mashuja hao wa uingereza mangharibi.
Eden Hazard talking to Chelsea about new contract after PSG interest

barcelona kuzima ndoto za man united kumnasa marco reus kutoka borussia dotmund
 

fernando amejiunga na man cty kwa ada ya paund 12,
Porto's Brazilian midfielder Fernando is on his way to Everton

manchester united ipo tayari kumchukua kiungo mkabaji wa Buyern Munich ikiwa ni mazungumzo baina ya uongozi wa timu hyo na Van Gaal ambaye tayari ameshamfungulia Mata milango ya kuondoka.
 






osvaldo wa southmpton kukimbila juventus

Dani Osvaldo signs for Juventus 

Jermaine Pennant celebrates after scoring the first goalraphael benitez ameamua kumkumbuka mwane mlevi jarmine penant, na yupo mbioni kujiunga na napoli




by priva Abiud @udom






No comments

Powered by Blogger.