ZIMWI LATAFUNA TENA

wakati mwaka 1998 ufaransa anachukua ubingwa pale paris ilikuwa kilio kule rio de jeneiro, kombe la dunia lililofuata ufaransa akatoka makundi mwaka 2004 pale korea kusini dunia ilishangazwa na hikikitendo, wakati papa bouba diop 30 anakimbilia kwenye kibendera zidane alibaki mdomo wazi hata pale refa Ali Bujsaim (UAE) anamaliza mpira ufaransa 0 1 senegal, mchezo uliofuata ilikuwa iliuwa ufaransa dhidi ya uruguway na walitoka suluhu mchezo wa mwisho kwa ufaransa ilikuwa dernimack na ufaransa alipata kipigo cha magoli 2 0, romedahl na tomason walifunga kazi,
Table:
 1.DENMARK          3  2  1  0   5- 2  7
 2.SENEGAL          3  1  2  0   5- 4  5
 3.Uruguay          3  0  2  1   4- 5  2
 4.France           3  0  1  2   0- 3  1
 
 
 
 
 
 
brazil alimaliza bingwa mwaka huo, kombe lililofuata lilifanyika pale ujeruman, brazil alipaswa kutetea ubingwa wake mbele ya wajerumani,

 
robo fainali wakakutana na babu zinedine zidane zizzou, aliwadhalilisha ronaldinho na ronaldo lima, hawakudhalilika sana maana goli moja llitosha kuwatoa kayika mashindano, huo msimu italia alibeba ubingwa mbele ya wafaransa wenyewe muda mfupi tu baada ya zidane kumtwanga kichwa materazi, msimu wa 2010 na kumi ulikuwa msimu wa furaha sana kwa waafrika maana ndio kombe la kwanza kufayika katika ardhi ya afrika, wakati waafrika tunajivunia kwa hilo, mpaka leo waafrika kusini wanalia na deni kubwa walililokopa kwajili ya maandalizi ya kombe hilo, zimwi liliendelea kutembea na mabingwa hasa pale italia aliposhindwa kufurukuta kwenye hatua ya makundi, italia walienda afria kusini wakiwa wamejzana vikongwe wengi, waliotkea hatua ya makund wakiwa na kura mbili tu, slovakia na paraguway wao walisonga mbele, uhispania wakatwa ubingwa kwa goli la andres iniesta, nakumbuka sana kazi kubwa aliyoifanya casilas, nakumbuka vizuri sana wakati roben anakosa nafasi tatu za wazi,
sasa tupo safarini 2014, hatua ya makundi bado lakini bingwa mtetezi hatunaye, magoli mawili, ya rvp, roben na vrijl yametosha kuwawekea chile motisha wakuifunga spain magoli 2, 
KWANINI HASWA UHISPANIA WAMETOKA
  •  Wachezaji hawana motisha, wamezubaa sana, hakuna anaeonesha uhitaji mkubwa, wao kama wancheza carling cup
  • del bosque amekariri maisha, ni kocha mzuri lakini bado hajajua kusoma nyakati, watu wanataka mgoli sio total football,
vijana wadogo wanatelekezwa, leo hii casilas kafungwa magoli matano matatu n uzembe wake na bado hutoi fundisho unamkumbatia, mata, carzola, isco uliwaita wanini kama huwatumii na unamkariri iniesta na xavi, hizi plans za wachezaji wapya alipaswa kuzifanya kabla ya kombe kuanza, costa ana majeruha, hayuko fit, kwann humpi nafasi villa unamuita msukule tores aliyebaki na goli akakosa???
hizo ni salamu tukwa barcelona na wengine, tuacheni masihara, kama mpira ni pasi uhispania walipaswa kushinda 8 0,

kingine wachezaj wamechoka, tuwape nafasi wengine, pole sana xavi, puyol kasoma upepo,
nawashukuru san kwakufika naamin tutategemea kuwa mwaka 2018 Mungu akitufikisha apo basi tutategemea mje na mapya, nataman sana kujua nani mwenye huu mkosi, maana hili zimwi linapita ana mabingwa tu, inauma sana pale unakuta mtu ni mshabiki wa man u na spain, au spain na barcelona, del bosque kashindwa kufuta uakabila wa kimadrid na kikacatalan, mla huliwa, leo hii nategemea kuwasubiria katika mji wa madrid kama walivyopkelewa wenzenu pale paris, re de jeneiro na rome basi nategemea itakuwa kama nyie mabingwa wetu, 2010 iliwapenda ila 2014 imewapenda zaid



by Priva Abiud @udom

No comments

Powered by Blogger.