marcos rojo ajiunga rasmi manchester united
muda mfupi baada ya amrcos rojo kutangaza kujiunga united hatimaye amejiunga na masheten wekundu kwa ada ya e16 pamoja na luis nani kuelekea spoting lisbon kwa mkopo wa muda mrefu, beki huyo anayetumia mguu wa kushoto huenda pia akacheza kwenye mechi dhidi ya sunderland wikiendi hii, waliobaki sokonni ni kama angel di maria e50, cuadrado e35 na vidal e41,
Marcos rojo akiwasili katika jiji la manchester tayari kwa vipimo vya afya kabla ya kujiunga old trafford,,
#dinho

#dinho
Leave a Comment