turan kuwa mbadala wa vidal
baada ya makubaliano kati ya manchester united na klabu ya juventus kwenda mrama manchester united imehamia kwa kiungo mwingine wa atletico madrid arda turan kama mbadala wa vidal, taarifa hii imetolewa na chanzo kimoja cha habari kutoka uingereza Ben Jefferson of the Daily Express: " inasemekana kwamba tayari atletico wameonesha nia ya kumtaka kiungo wa manchester united shinji kagawa ambaye yupo sokoni kwa sasa, na hili litaleta tumain kwa mashetani wekundu maana watatumi adili la kagawa kumpata arda turan. kagawa ambaye anapatikana kwa ada ya £14m yuko mbioni kutimka manchester united kwa kile kilichodaiwa kuwa ameshindwa kuonesha uwezo wake ugani old traffford na luis van gaal hana mpango nae kwani tayari atamtuimia juan mata na ander herrrera,
priva@udom
Leave a Comment