BALON D' OR MATUKIO KATIKA PICHA

[10:26PM, 1/12/2015] Gerad: RONALDO ANASTAHILI TUZO YA BALLON D'OR 2014.

Ndio..tuzo hutolewa kwa mchezaji mwenye mafanikio binafsi..kwa msimu mzima....

C.Cristiano Ronaldo

Hoja zao...
Kigezo cha mataji..
1.Uefa champion league
2.Copa de rey
3.Super cup Uefa
4.Club world cup.

Kama kigezo ni binafsi

1.Mchezaji bora Ulaya
2.Mchezaji bora Real Madrid
3.Mfungaji bora Ulaya
4.Mfungaji bora La liga.
5.Mfungaji bora Uefa
6.Mchezaji bora Ureno
7.Mchezaji bora Spain.
8.Mchezaji bora wa BBC
9.Mfungaji wa goli bora La Liga.

Now..Current.
Anaongoza kwa mabao...La liga....26 goals, Mechi 17..
Anaongoza kwa Assists...La liga..9.
Una Swali lingine..au una shaka nae?
[10:31PM, 1/12/2015] Gerad: Vote percentage

Cristiano Ronaldo wins Ballon d'Or

Fifa, being the transparent organisation that it is, has just released a breakdown of all the votes. And it wasn't even close...
Cristiano Ronaldo: 37.66%
Lionel Messi: 15.76%
Manuel Neuer: 15.72%.

Privaldinho @udom

No comments

Powered by Blogger.