FILAMU BONGO ZINALIPA
KIJIWE CHETU
FILAMU BONGO ZINALIPA
Wakati anazaliwa nyota iliiangaza angani mchana
kweupeee... Isitoshe majira ya mwaka yalibadilika
ghafla, kutoka kiangazi kwenda masika...
Unataka kujua ni nan???? Endeleeaa
Ukiona mkorea kijana kijana basi mwite hyung,
maana yake ni kaka, ukiona mbaba mwite
seonbaen, akikupa kitu sema kumoyo maana yake
n asante,,, unaweza pia kutumia oppa kama kaka,
apaa kama baba, araso kama sawa, anyoo kama
hapana..n.k........ Hii ndio faida niliyopata kutokana
na series za kikorea......
Unafiki pemben
Wakorea kwa sasa wameteka soko la filamu, ile
habari ya kusubiri eti sijui tunasibiri vampire diaries
6 mwakan, sijui prison break season 5, haipoooo,,,,
wakorea wanakutwangia zootee..... Hawana
mboyoyo.....
Ngoja nikupe kifungua kinywa..
Najua wengi wanamfahamu dikteta wa kikorea Kim
Jong II Wakati anazaliwa nyota iliiangaza angani
mchan kweupeee... Isitoshe majira ya mwaka
yalibadilika ghafla, kutoka kiangazi kwenda
masika..., aliongoza korea kigaidi tokea mwaka
1994, kwenye profile yake anahusishwa na nguvu
za giza! Alizaliwa katika mlima Paekdu, kilele
kikubwa cha Penisulla huko korea, wiki 3 baada ya
kuzaliwa aliweza kusimama na hata kutembea, wiki
5 baadae basi aliweza kuongea kama movie vile,....
Kim Jong alikuwa mpenz sana wa filamu na
alimiliki zaid ya filama 20,000, alitangaza baadhi
ya filamu kama Friday the 13th, Rambo,
Godzilla, na Hong Kong action cinema,na filamu
yoyote ya Elizabeth Taylorna pia aliwahi kuteka
watu wawili, director shing san-ok na mcheza
filamu choi Eun Hee ili waanzishe kiwanda kikubwa
cha filam korea.....
Alisaidia kwa kiasi kikubwa kukua kwa soko la
filamu nchin korea, ndio maana mpaka sasa korea
naamin wao ndio wanaongoza kwa utoaji wa series
pendwa zaid kwa sasa,, hili halina ubishi...
Hebu shangaa......
Huyu jamaa mbali na nguvu za kichawi mwaka
2011 serikali ya korea ilitangaza kuwa Kim Jong
aliweza kuendesha gari alipokuwa na miaka 3, hata
alipofika miaka 8 basi aliweza kukimbiza ndinga
mile 85 kwa saa,hapa ndipo Priva naamini kweli
huyu dikteta.. Na isitoshe baba yake aliweza kuua
mamilion ya watu wakati wa utawala wake..
Hili ni fundisho kwa filamu na soka la Tanzania,
kiongozi yoyote atakaepata madaraka basi awe na
upendo na soka letu na filam kama kim,, awe
serious, apiganie soka letu ili angalau tufike Late
Modern soccer kuliko hili la late late old soccer na
soko la filamu....
Nikupe siri kidogo
Mwaka 2010, meli ya korea kusini ilipata ajali na
wauza filamu 46 walipoteza maisha, na chanzo
ilisemekana kuwa korea kaskazin imesababisha
hiyo ajali.....
Kama hilo halitoshi
Viwanda vya filamu nchin korea vinachangia pato la
dola bilion 6.7 na zaidi ya watu 67.267 wamepata
ajira na mapato ya kodi ni zaid ya dola bilion 3.55
ambayo ni zaidi ya trillion 5 za kitanzania,,,, kwa
ujumla viwanda vya filamu huingiza mapato kwa
serikali na kwa watu binafsi zaid ya dola billion 15
kwa haraka haraka hii ni bajeti ya tanzania....
Hahahaha
Hapan ndipo naposema FILAMU BONGO ZINAUZA
tukiamua.....NATAMAN NIENDELEE ILA
INATOSHA... NAPITA TU
Leave a Comment