UJUE UKWELI KUHUSU MIELEKA
KIJIWE CHETU
JE MIELEKA NI KWELI???
Kila kitu Duniani kina chanzo chake, kama sio chanzo basi njia ya mafanikio ya kitu fulani, ndio maana leo wakatoliki Wengi wanamheshimu Bikira
Maria maana yeye ndiye aliyemzaa Yesu, Au Waislamu wanaamini Kupitia SWA (MUHAMAD)
kwa sababu ya Quran na iman yao ikiwa kama mojawapo ya njia au chanzo chake! Wengi tunaweza tumjue sana John Cena lakini tusimjue Jessy McMahons
Jessy McMahons ni nan?
Jina kamili anaitwa Roderick James McMahon
Amezaliwa May 26, 1882 marekani, huyu ndie
Mwanzilishi na Mwasisi wa Mieleka (WWE), alifariki
november 22 1954 akiwa na Miaka 72. Mwaka 1952 alianzisha Capitol Wresling Corporation akiwa
na toots Mondts, mmiliki wa sasa wa Mieleka ni Bwana Vice Mcmahon mjukuu wa Jesy McMachon
ambaye mwaka 1968 alikuwa mtangazaji, 1997 alikuwa mcheza mieleka akitambulika kama mr mcmahon
JE MIELEKA NI NINI??
Wengi tumekua hatujui mieleka ni nini zaid tu imekua Mchezo hatari dunian, tukiwa tumefumbwa
macho, nmejaribu kufuatilia kwa kiasi fulan nmegundua kitu, moja duniani kuna MICHEZO NA
BURUDANI, michezo lazima pana ukweli na ushindani, lakini burudani sio lazima kuwe na
ukweli,(mfano maigizo n.k)
Ukiangalia maana ya Wresling (WWE) kwa kiingereza ni "WWE shows are not legitimate
sporting contests, but purely entertainment-based,
featuring storyline-driven, scripted and choreographed matches, though they often include
moves that can put performers at risk of injury if not performed correctly"
MTAZAMO WANGU
Ukijaribu kuangalia hiyo maana tunagundua kumbe
Mieleka ni mchezo wa kuigiza, hadithi za kutunga
zinazofanywa jukwaan, mechi za kupangwa ili kuleta burudan kwa watazamaji, ila wakati Mwingine inakuwa hatari, kwa sababu wanafanya uwongo kuwa ukweli, wakati mwingine huu mchezo
ni hatari maana kuna wakati wanajisahau ndio
maana wanaumizana lakin kuna adhabu na fidia au
faini,
UCHAWI
Kwenye huu mchezo uchawi
ume.......................******
@KWA MSAADA WA WIZARA YA BURUDANI
Leo sipiti tu ntarudi na mwendelezo....
Leave a Comment