YAHYA TOURE ABEBA TENA


Kiungo wa timu ya Manchester City Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kutajwa na shirikisho la soka barani Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa mwaka wanne mfululizo. Toure ana umri wa miaka 31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika kombe la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.

Toure amewapiku mshambuliaji kutoka Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na golikipa mnigeria
Vicent Enyeama.Toure pia alikwaa tuzo ya FIfa ya
Ballon D’Or mwezi wa kumi mwaka wa jana..

source ibntv.com

Privaldinho @udom

No comments

Powered by Blogger.