HEBU CHEKA

KUANGALIA MPIRA NA DEMU NI STRESS
TUPU
Demu:bby hv huyo ni chris brown?
Msela:no bby huyo ni theo walcot
(baada ya dk 5)
Demu:bby hiyo kadi ya njano ina
maana gani?
Msela:hyo ni ya kumuonya
mchezaji akifanya kosa afu hyo
nyekundu ni ya kumtoa kabisa nje
Demu:je ya kijani?
Msela: hakuna kadi ya kijani.
(baada ya dk 15)
Demu:bby i wish arsenal siku 1 wachukue
wold cup coz yule rafiki yako
anaipendaga brazil ananiboa kama nini
Msela: Arsenal ni club haiwez shirik world cup,
(baada ya dk 5)
Demu:Hv bby huyu kocha wa
arsenal anaitwa nani?
Msela:anaitwa arsene wenger
Demu:haa..!so huyu wa
manchester anaitwa manchestawenger?
Msela huku kanuna
Hapana huyo Van gaal
Dem: mmmhh!
Baada ya dak2)
Dem:Baby mbona Messi leo haingii?
Msela; messi yeye klub anayochezea inaitwa
Barcelona.
Mara dem anashangilia 2meshinda mpira
umeisha
Msela;haujaisha half time
Kipindi cha pili(2nd half)
Dem; kashangilia tena
Msela;vp mbona hvyo?
Dem;Bby huoni Rooney kajifunga yamefika
mawili baby me nilikwambia lazima 2shinde!
Msela;kasawazisha sio kajifunga!
Dem;bby kwanini sasa kafungia kwenye goli
lake
Msela;2nd half(kipindi cha pili huwa
wanabadilishana magoli.
Dem;mmmmhh!
Baada ya dak5)
Dem; bby goalkeeper sianaruhusiwa kushika
na mikono kwanini asishike akakimbia nao
mpaka golin akautupia wakafunga haraka
kuriko kupigiana!
Msela kanuna kazma Tv twende 2kalale kesho
kazini
Dem;sasa mbona umezma.
Msela;2taangalia kesho part 2.

No comments

Powered by Blogger.