Kaa mkao wa kula gazeti la supaspot
KAA TAYARI!!!! Gazeti jipya la SupaSpoti lenye habari na makala za kuvutia za michezo yote, sanaa na burudani... LINAKUJA!
Ni gazeti jipya kabisa
Habari kemkem
Matukio
Makala
Michezo mbalimbali
Visa na vituko michezo
Utavipata vyote hivyo vyote si pengi e Supaspoti.......
Utalipata kwa shilingi mia tano tuuuuu
Leave a Comment