SUPPORT MZIKI WETU
Kama Wewe ni mpenzi wa good music basi support upcoming artist........
Leo tupo na kijana kutoka mbeya
Babuu Nxt (B.O.T MTANZAHURU)
Mwanaharakati wa kwetu...... Anazo track kibao kama
Dear One
Pete ft dynamic band
Picha ya Mwalimu ft Pnc
Wife material
Media
Tanzania huru
Vaa pete
Na usikose nyimbo kali "ULIVYO" mpya kabisaa..... Supporting upcoming artist ili nao wafike mainstream .......
Kwa nyimbo zake mcheki kwenye
0757865450
instagram mtanza huru na facebook pia
Leave a Comment