BENZEMA TAYARI KUTUA ARSENAL
ARSENAL YAKUBALI KUMNUNUA BENZEMA KWA ADA YA PAUNDI 48
LONDON, Na Priva Abiud
kwa taarifa zilizopo kutoka kwa Rodney Marsh wa daily mirror amethibitisha kuwa tayari arsenal imekwisha kukamilisha usajili wa karim benzema mwenye miaka 27 kutoka klabu ya Real Madrid. chanzo kimoja cha habari kutoka uhispania kimethibitisha taarifa hizo asubuhi mapema leo hii. hizi zitakuwa taarifa nzuri kwa ndugu zangu wa london ikiwa ni baada tu ndugu zao wa darajani kunasa saini ya kiungo wa kihispania pedro rodriguez aliyetua chelsea akitokea Barcelona kwa ada ya paundi 21.
Leave a Comment