DE GEA KUTUA MADRID, AMLAUMU VAN GAAL... BALE AGOMEWA, HISTORIA MBOVU YA VAN GAAL


WAKATI SAKATA LA MATOKEO MABOVU YAKIENDELEA EPL BADO DAVID DE GEA SAKATA LAKE LAZIDI KUPAMBA MOTO


manchester 
Na Priva Abiud
Manchester United v Newcastle United
DE GEA AKIWA JUKWAAN WAKATI AKIMTAZAMA ROMERO AKIVAA GLOVES ZAKE






Image result for de gea 2015Gazeti la Independent limedai kuwa tayari Madrid imeshamnasa De gea kwa ada ya euro 29. zikiwa zimebaki siku tatu kufika mwisho wa dirisha la usajili linalotarajiwa kufungwa jumanne Gazeti la the sun nalo limedai kuwa Manchester united wametoa ofa ya euro 65 pamoja na de gea ili kupata saini ya Gareth Bale. huku Ferentino Perez akisisitiza kuwa Gaerth bale hauzwi na ataendelea kuwa mchezaji wa Madrid. Hata hivyo inasemekana kuwa kocha wa manchester united tayari ameshanza kumwinda golikipa wa ajax Jasper Cillissen. ndani ya masaa 48 yajayo De gea atatumia nguvu ya ziada kuilazaimsha manchester united kumuuza ili kulinda nafasi yake katika michuano ya euro. gazeti la mirror limesema kuwa kama De gea ataendelea kubakia klabuni hapo basi ndoto zake za kucheza euro zitapotea kabisa. David De Gea amekataa ofa kubwa kabisa kutoka kwa loius Van Gaal ya euro 200000 kwa wiki ili kulinda kiwango chake ambacho huenda kikapoptea chini ya kocha huyo mholanzi, taarifa zaid zinasema kuwa De gea amehakikishiwa namba endapo atakubali kuaki united mara baada ya usajili kufungwa lakin mlinda lango huyunmwenye miaka 24 amesema hayupo tayari kuendelea kufanya klabuni hapo chini ya uongozi wa loius van gaal. kocha huyu ameendelea kumtumia kipa aliyemsajili msimu huu Sergio Romero ambaye hajaruhusu goli hata moja kati ya michezo mitatu ya ligi nchin Uingereza.


HISTORIA YA VAN GAAL JUU YA MAKIPA NO 1.
Edwin Van Der Sar at Ajaxalipojiunga na Amsterdam alimkuta golikipa stanley menzo aliyechezea klabu hiyo tokea 1991 mpaka 1997 lakini van gaal alimtoa golini na kumweka edwin Van de Sar

                               



 

Barcelona 1997-2000

pia kunako mwaka 2000 alipojiunga Barcelona alimkuta Golikipa wa kireno Vitor Baia akiwa majeruhi ila aliporudi kutoka kwenye majeraha yale ya goti van gaal alimtumia zaidi mholanzi Ruud Hesp na Baia aliuzwa Porto.

Barcelona 2002-03

Eric Abidal and Xavi after victory in the UEFA Champions League final between FC Barcelona and Manchester United FC at Wembley StadiumVan Gaal alimsajili Robert Enke kuziba pengo la golikipa No.1 Robert Bonano. Enke alishushwa baada ya kufunga mechi tatu mfululizo. baadae victor Valdes alipandishwa timu ya vijana. lakini hivi majuzi pia amemtumbukiza valdez kwenye shimo la klabu b lakini valdez amegoma na yupo njia kueleka besktas





AZ Alkmaar 2005-07

Henk Timmer alikuwa golikipa namba moja wa klabu hii, lakini alipokuja  Van Gaal, Romero alifanywa kuwa kipa namba moja.

Bayern Munich 2009-11

Van Gaal alimweka Michael Rensing kuziba pengo za golikipa mzoefu Hans-Jorg Butt.
baada butt alitupwa tena na anafasi yake kuchukuliwa na Thomas Kraft. baadae van gaal alifukuzwaklabun hapo baada ya kugoma kutoa ushirikiano katika usajili wa golikipa wa Schalke  Neuer.


KWA REKODI HII MBOVU YA VAN GAAL DE GEA KWAHERI


No comments

Powered by Blogger.