MOURINHO KUZICHAPA TENA NA WENGER LEO??
r
wakati Morinho akimsifu arsene wenger kuwa msimu huu anaweza akabeba kombe la EPL au kombe lolote lile kubwa leo vigogo hao wanakutana kwenye ngao ya hisani, Petr cech anategemea kukutana na ndugu zake wa darajan kama ataanza, wakati huo huo ni baraka ndani ya klabu hiyo ya washika bunduki ambapo sant carzola na theo walcot wanapoongeza mkataba mwingine huku mourinho akijigamba kuwa ana uwezo wa kuongoza soka kwa takribani miaka mingine ishirini hapo baadae Mungu akimweka hai. arsenal ndio mabingwa wateteZi wa kombe hili baada ya kuifunga man city 3 0 mwaka jana. ikumbukwe kuwa makochahawa ni pua na ulimi hawana mahusiano mazuri kabisa hata hufika mahali wakakunjana tai.
KWINGINEKO
rafaael da silva kufanya vipimo vya afya kuelekea lyon hiyo kesho. van gaal amemwambia rafael kuwa persona non grata kwamba hahitajiki klabuni hapo kutokana na utajiri mkubwa wa mabeki wa pembeni walionao Man Utd kwa sasa ikiwa ni pamoja na Pad Macnair, smalling matteo darmian pamoja na ashley young. rafael alijunga Man Utd mwaka 2008 pamoja na kaka yake fabio ambae nae alikwisha timka klabuni hapo.
Cristiano Ronaldo amesema kwamba wakati alipokuwa akicheza Andorinha kule Madeira hakuwahi kutegemea kama angekuja kuwa mchezaji mkubwa duniani, anaongeza kuwa yeye alikuwa kila sikua alikuwa akienda mazoezin tu akiwa na baba yake lakini alichojivunia ni kuwa ndani ya timu yake ya vijana na sio vinginevyo. hata hivyo Ronaldo anawindwa na PSG baada ya Van Gaal kudai kuwa hana uhitaji wowote na mchezji huyo kwa sasa.
Adidas imezidi kuikuna Man Utd mara baada ya kusema wapo tayari kuisaidia klabu hiyo kupata saini ya Gareth Bale mwenye thaman ya paundi 86

Leave a Comment