USAJILI WA OTAMEND, MANE, NA NYINGINE HIZI HAPA...
MAGAZETINI ULAYA
NA Priva Abiud
SOUTHAMPTON ITAKUMBANA NA JARIBIO KUBWA PALE ITAKAPOHITAJIKA KUTUMIA NGUVU YA ZIADA KUWABAKISHA SADIO MANE ANAEHITAJIKA UNITED HUKU VICTOR WANYAMA AKINYEMELEWA NA TOTTENHAM HOTSPUR HII NI BAADA YA KUMPOTEZA NATHAN CLYNE ALIYEJIUNGA NA LIVERPOOL MSIMU HUU.
*************************************************************************
MANCHESTER CITY WIKIENDI HII WATAMTANGAZA RASMI MCHEZAJI WAKE NICHOLUS OTAMEND KUTOKEA VALENCIA RAIA WA ARGENTINA ALIYEKUWA AKIHITAJIKA KWA MUDA MREFU NA KLABU YA MASHETAN WEKUNDU MANCHEESTER UNITED. UNITED WATAKOSA HUDUMA ZA BEKI HUYU MAHIRI KABISA WALIYEKUWA WAKIMWINDA KWA KIPINDI KIREFU LAKIN JUHUDI ZAO ZILIGONGA MWAMBA.
WAGONGA NYUNDO WA LONDON WAO WAMESEMA WAPO TAYARI KUSUBIRI EMMANUEL ADEBAYOR AMALIZE MKATABA WAKE NA TOTTENHAM NDIPO WATAWEZA KUHIMILI MAHITAJI YA MCHEZAJI HUYO WA KIMATAIFA KUTOKA TOGO. IKUMBUKWE WEST HAM KWAMBA WAMEKUTANA NA KIKWAZO KATIKA KUMSAJILI MSHAMBULIAJI WA IMEXICO JAVIER HERNANDEZ KUTOKA MANCHESTER UNITED HUKU WAKIJARIBU KUTUPA KARATA YAO KWA CHARLIE AUSTIN LAKIN WAMEAMBIWA KAMA HAWANA KITITA CHA PAUNDI 15 BASI WASAHAU KUHUSU AUSTINE.
KOCHA STEVE MCLAREN AMEWAMBIA AC MILAN KUWA MOUSA SISSOKO HAUZWI WALA HAWANA MPANGO WA KUPUNGUZA BEI YAKE AMBAYO IMETAJWA KUWA NI PAUND 15 ILI KUPATA HUDUMA YA MFARANSA HUYO MWENYE MIAKA 27 ANAEKIPIGA NEWCASTLE KWA SASA..
"KLABU HII ILIONESHA NIA YA DHATI NA MIMI KWA KIPINDI KIREFU SANA, NADHAN NDOTO YANGU YA KUCHEZA KLABUNI HAPA IMETIMIA SASA, NAWASHUKURU WOTE WALIOKUWA WAKINIPA MOYO KWA NAMNA MOJA AU NYINGINE"
Leave a Comment