USAJILI WA PEDRO MATATANI, WATU WATOANA NYONGO KWA VIJEMBE



Sportspaper

VIJEMBE VIMEANZA SASA...... PEDRO MUACHIEEEE......
Christopher Shirima > MICHEZO NA BURUDANI
Pedro as a Chelsea player

BINAFSI NILIKUWA SIUHITAJI SANA HUU USAJILI KWA KUWA TATIZO LETU NI STRIKER NA CY WINGER...LAKINI KWA KUWA
KILA ANAETAKIWA NA MAN U KUSAJILIWA WENZETU WALE WA DARAJANI WANAJUA NI BONGE LA MCHEZAJI...JAMANI WENGINE NI TETESI TU.....KILA LA HERI DARAJANI
+**********************

 
Ramadhani Mchoropa > MICHEZO NA BURUDANI

Alianza Mohamed Salah, akaja Juan Quadrado na sasa ni zamu ya Pedro kwenda kuua kiwango chake pale darajani,
huu usajili haukua wa msingi sana kwa kijana kama Pedro ambaye anahitaji nafasi ya kucheza kujiunga na timu hii, yote tisa, kumi tumtakie safari njema huyu kijana kwa
kucomment neno " ‪#‎RIP‬"
***********************************


Chikoti Cico > MICHEZO NA BURUDANI

Haya nataka nianze kuelezwa kwamba ni mchezaji wa kawaida, kwanza ana miaka 28 hivyo atazeeka mapema, halafu pili ataflop kama De Bryne ama Schurrle na kama umechukia zaidi utaniambia kwamba hataiweza ligi ya Uingereza. Hizo zote zinatafsiriwa kwa maneno matatu tu
"SIZITAKI MBICHI HIZI".
*********************

Bob Sydou

Mama Weeeeeeeee,,! Mourinho Katunyanganya Mchezaj Wetu Pedro Njo Umpige Huku
********************


Mwenyekheri David Sanga

baada kuangukia pua hatmae Luis Van Gaal aelekeza juhud zake kuinaxa xain ya mshambulia machachar Ngassa kama
mbadala wa Pedro
**********************


Sirgent Meja Sniper

Nilitaka nishangae Barcelona watuuzie Pedro wakat ss ni maadui wakubwa katka soka Nb wanaume tumerud uefa kuzibeba tm za englnd coz bila sisi hawawez kufika robo
final
#########################


UNAKUBALIANA NA NAN HAPO JUU! AU UNAPINGANA NA NANI? NINI MAONI YAKO JUU YA USAJILI HUU
‪#‎DINHO‬

No comments

Powered by Blogger.