MJI WA VATCAN KUVAMIWA

BABA MTAKATIFU KUVAMIWA NA BOKO HARAM

Na Priva Abiud

NA ISIS, MJI WA ROMA HATARINI.
Kikundi hatari cha Boko Haram kutoka Nigeria kimetuma Majeshi zaidi ya 100 kwenda kusaidia Kikundi hatari zaidi cha ISIS kilichopo nchini Libya kwa sasa! Taarifa zinasema kuwa, Inasemekana kuwa safari yao itafikia kikomo katika bara la Ulaya! Kiongozi wa Kikundi hicho
amesema, kuwa. pia taarifa zinasema kufikia sasa wamekwisha tuma zaidi ya wanajeshi 200 ili kuunga Mkonon ISIS katika harakati zao za kujenga Umoja baina ya Makundi hayo Hatarishi zaidi kwa sasa dunian.
**************************************

Gazeti la Sunday Express limedai kuwa, ISIS wanadhamira ya kutoka kuiongoza libya, iliyokuwa ikiongozwa na Marehem Muamar Gaddafi aliyeuawa na kikundi cha waasi kilichosaidiwa na NATO. Taarifa Pia zimesambaa Mtandaoni zikionesha ni kwa jinsi gani, wataivamia nchi hiyo ya Afrika Kaskazini, na baadae waelekee mpaka Italy na nchi nyingine za Ughaibun.
************************************

Boko haram pia wamesema kuwa, Libya ni Geti zuri kuingia Roma, hilo hawana shaka nalo na wamejipanga vilivyo! Kwenye Ramani wameonesha maeneo kadhaa watakayovamia ikiwa ni pamoja na Iran, Burma, Roma na hata
ikiwezekana America.
******************************************

Kijana Mwenye jina la Abu El Gandal Barkawi aliweka kwenye ukarasa wake wa Twitter akionesha kuwa, Wataanzia Libya, kisha Roma, Na kwingineko. Aliongeza kuwa silaha za Ottomans zipo tayari na nyingine zimeshawasili maeneo ya kuizunguka Roma.
*****************************************

Kikundi cha ISIS kimeonekana pia kikigawa silaha ovyo kwa watu ili wawasaidie katika vita hiyo. Kikundi cha Saudia Kijulikanacho kama Ali El Gezrawi kimeomba msaada kwa ndugu zao kutoka Tunisia, Misri, na sudan kuwasaidia wenzao kupambana.
****************************************


Boko haram na ISIS wametoa kauli kuwa, Libya ni nchi ya jihad na wazamiaji, sio nchi ya walibya pekee, ila kwa waislam wote wanaomwamin Mungu yaani Allah!
****************************************

Hata hivyo mtaalamu wa kivita kutoka Boko haram amesema wanajeshi wake wamekwishaanza mashambulizi katika mji wa sirte mapema hivi leo.

No comments

Powered by Blogger.