MAJERAHA YA COUTINHO NI MAKUBWA ZAID

MAJERAHA YA COUTINHO NI MAKUBWA ZAIDI


Na Priva ABIUD

Gazeti la Mirror limedai kuwa Majeraha ya Phillipe Coutinho ni makubwa zaidi tofauti na ripoti za hapo awali. Mchezaji huyo wa zamani wa Inter Milan alipata majeraha hayo kwenye ushindi wa goli 4-1 dhidi ya Manchester city pale Etihad ambapo alifunga goli moja.


.


Coutinho alitolewa kipindi cha pili katika mchezo huo baada ya kuumia misuli ya paja na matabibu walisema kuwa ni majeraha ya kawaida tu, lakini baadae taarifa zinasema huenda akarudi tena nje kwa kipindi kirefu ambacho hakijatajwa mpaka sasa.

Liverpool watakutana na Bordeaux katika ligi ya Uropa siku ya alhamisi ambako kiungo huyu aliyezawaidiwa kila aina ya vikorombwezo hatokuwepo katika mchezo huo


No comments

Powered by Blogger.