AGUERO ACHA UBINAFSI ILI UWE KAMA SUAREZ
AGUERO ACHA UBINAFSI ILI UWE KAMA SUAREZ
Na Patrick Admila
Aguero ni moja kati ya washambuliaji bora kabsa na hili halina ubishi,,Tatzo alinalo Kun ni ubinafsi(selfish)hawez kufanya kaz ambayo inafanywa na Washambuliaji kama Suarez,Ninaposema ni mbinafsi namaanisha hawez kufaya mambo mawili kwa pamoja,, hawez kufunga na kutoa pass za mwisho au pass za mabao,,Kun anapenda aonekane yeye tu,,anampa kaz david silva ya kuchezesha team,ndiye anapiga ile penetration pass,kuamua city ishambulie na kutoa pass za mabao,,ndomaana kama silva hayupo city hainekani kama ina hatari,, debryune ni kiungo mbunifu pia ila bado silva ni muhimu zaid,,Nasema Aguero ni mbinafsi kwasababu sio aina ya washambuliaji kama Giroud,,Chicharito,Vard,Owen ambao wao wanawaza kufunga tu na ukisema uwapange namba 10 au nyuma ya mshambulij bas unakuwa umewakosea kweli ni kama dhambi kwao lakn tukubali ndivyo walivyo huwez kuwabadilisha,lakn Aguero unaweza kumbadilisha,Hata kocha wa zaman pellegrin akitaka magoli zaid bas atamrudisha Aguero no.10 ili Ihenacho acheze striker,,Hata pep anaweza kufanya hivyo,
,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Aguero hajawahi kufanya kitu ambacho suarez anafanya kila msimu,,Aguero hajawah kutengeneza utatu mtakatifu as long as anacheza na viungo wabunifu kama Silva na KBD,,
Unakumbuka suarez alipokuwa liverpool?msimu wa 2013/2014 alitengeneza utatu mtakatifu kabla hajahamia barcelona,,alihakikisha sterrling anafunga na sturridge pia,,Ile liverpool ya brendan Rodgers suarez alifunga mabao 30 lakn mengne alitoa pass za mabao,,Suarez amehamia barcelona na ameendelea kutengeneza utatu mtakatifu,,msimu uliopita suarez alifunga mabao 40 na kutoa pass za mabao 16,, kitu ambacho Aguero hajawah kufanya,,suarez anafunga na anaassist na bahat nzuri mungu kamjalia hana majeruhi ya mara kwa mara,Aguero anapata majeruhi sana lakn lazma afanye kile anachokifanya suarez,Hata kama anacheza mechi chache kutokana na majeruh bas akamilishe lile jina la( A complete striker(au mshambuliji aliyekamilika kama suarez
Hata benzema ameweza kushirikiana na Ronaldo na benzema, ila ronaldo japo nayy ni mbinafsi maana ni winger lakn benzema anaishia kubaki nyuma yake kweye idadi ya mabao na wanashirikiana sio kama maana wote wanafunga sio kama Aguero,silva na Kelvin debruyne, yan wote wanakuwa na uwiano mzuri wa kufunga na kutoa pass za mabao ila striker ndo atabaki kuitwa striker atafunga mabao zaid pamoja na kwamba anaasist,,,Hata ukiangalia suarez,messi na neymar wote walikuwa na wastan mzuri wa kufunga na kutoa pass za mwisho ila suarez ndiye anabaki kuwa juu kwenye idadi ya magoli kwasababu ni mshambuliaji,
Kama Aguero ameshindwa kushirikiana vizuri na kelvin debryune,silva au sterrling inamaana hata akienda barcelona kucheza na neymar na messi bas atashindwa kutoa ushirikiano kama wa suarez,,au akienda kucheza na ronaldo na bale inamaana bado atashindwa tu kwasababu bado ni mbinafsi,,ndomaana suarez kwangu mim atabaki kuwa mshambuliji aliyekamilika kuliko Aguero,, hata zlatan,lewandowsky,benzema na suarez wanaweza kutoa pass za mabao pale inapotakiwa kutoa pass bas wanatoa sio lazma wafunge,,
Aguero ni mshambuliji hatari lakin ubinafsi ndo tatzo basi ajitahid kubadilika kila msimu atoe hata assist 8 au 10 ili majukumu kwa wachezaji kama silva na Kelvin debruyne majukumu yao yapungue yan awapunguzie majukumu wenzake,
Sportspaper.com
Leave a Comment