PEP GUARDIOLA ANAPOTETEA MTU AMBAYE HAYUPO KWENYE MIPNGO YAKE
Pep hapo umetudanganya kumuita joe hart kama legend wa klabu ya manchester city,,Pep anajaribu kutetea maamuz yake wakat ameshaonyesha nia ya kutomhitaji tena joe hart,Kabla hujatamka neno legend kwanza lazma uangalie historia ,joe hart is far from a legend na hata hakaribii hata kidogo,,Ni kweli hart ameshinda makombe mawili ya ligi ya premia akiwa n man city lakn bado hata klabu ya man city haina historia,unapozungumzia historia basi mafanikio pia yapo,Pep amemsajili mlinda mlango Claudio bravo akitokea Fc barcelona na hii inamaana hart hana maisha marefu pale etihad,claudio anamuonyesha exit door yan mlango wa kutokea,,
Kama tulivyoona kwenye michuano ya ya Euro mwaka huu,, Hart amecheza chini ya kiwango na mara nyingi aliigharimu team yake ya taifa ya England na hart bado sio mlinda mlango anayecheza kwa kiwango cha juu kila msimu,,Ana makosa mengi na ndomaana Pep ameamua kutoonyesha nia ya kumuhitaji,
Kwa uamuz huu wa pep sidhan kama amefaulu ipasavyo maana hata huyo bravo aliyesajiliwa anaweza asifanye kile ambacho pep anakitarajia,na unaweza kuona pep akiendelea kumpa nafasi mlinda mlango namba 2 Caballero,,na mtazamo wangu mim naona kabsa caballero akiendelea kushika nafasi yake,,Kwanza ni mrefu na hata ile mpira ya set pieces anaweza kukuokoa,na hata mipira ya kona anaweza kusaidia hasa pale unapokutana na team inayocheza mipira mirefu na yenye wachezaji warefu,,Bravo ni mlinda mlango mfupi mno tena kuliko Joe hart,sasa ile mpira mirefu atawezaje kuiokoa na changamoto aliyonayo ni kutoijua vizuri ligi ya england yenye kutumia nguvu nying kuliko akili,,n kingine bravo ana umri wa miaka 33,,ni kweli umri hauchezi uwanjani maana tunaona walinda mlango wengne kama Cech,buffon wakiendelea kuimarika na kuvisaidia vilabu vyao,ila kuna wakati mwili unachoka unahitaji kupumzika na pia fikiria kama akiumia itakuwaje,
Ni kweli bravo ni bora kuliko joe hart ila pep asitetee maamuz yake,,Asimsifie hart wakati haonyeshi hata nia ya kumbakisha ,,mashabiki wao wana iman na joe hart na ndo maana walionyesha nguvu na ushirikiano wakti manchester city ikicheza mechi yake ya pili ya play off kabla ya kufuzu kucheza ligi ya mabingwa balani ulaya katika ngaz ya klabu,,
Mara baada ya mchezo wa ushindi 1-0 alisikika akisema kuwa hawez kumfurahisha kila mtu,,ndomaana pep amejitenga ila mashabiki bado wana imani na hart hata kama sio kikubwa alichowafanyia basi inatosha na watamkumbuka.
Leave a Comment