SKENDO YA ANTHONY MARTIAL MDOGO WAKE AJITOSA, MREMBO MWINGINE AKIRI KULALA NA MARTIAL
PRIVALDINHO
Baada ya vuguvugu kubwa liliolikuwa likiendelea baina ya zlatan ibrahimovic na Anthony Martial kuhusu uhalali wa jezi namba 9, ghafla tukio hili lilipata presha kubwa hasa pale mpenzi wa zaman wa Anthony Martial alipojihusisha kwenye picha aliyoiweka zlatan ikionesha jezi yenye namba 9 na jina lake.

mpenzi wa zaman wa Martial ajulikane kama Sammantha Hellen ambaye ana mtoto mmoja na Martial aliachana nae mapema mwaka huu kwa kile kilichodaiwa kuwa Martial alitoka na mrembo mmoja ajulikanae kama Mellaine. ugomvi mkubwa uliendelea baina ya pande zote hasa pale mke wa zaman wa Martial alipomwita mwanamke huyo malaya.
MAJIBU YA KAKA YAKE MARTIAL
Mdogo wake martial ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Troyes ya Ufaransa alinukuliwa akisema
1. Samantha najua una hali ngumu kuhusiana na kile kilichotokea baina yakokakak yangu, lakini siwezi kuvumilia kuona uongo wako
2. kwanza hukuolewa na kaka yangu, hakukuwa na ndoa yoyote baina yako na yeye
3. hukumkuta martial akiwa na hana kitu, na hujamwata akiwa hana kitu, anthony alikuwa anakulipa E3500 kwa mwezi kwa jili ya mtoto, tokea mlipoachana, tena kiasi hicho ni kikubwa zaid ya kile ambacho jaji angesema upewe kama ungeenda mahakamani.
4.kaka yangu anampenda sana mwanae, na anatamana kumuona kila siku, ameanza kuwa na matatizo
tokea miezi mitatu iliyopita tokea muachane.
5. tumekuona unafanya michezo ya kijinga mtandaoni, picha za ajabu ajabu ambazo hukuwahi kufanya kipindi ukiwa na Martial, ni kama unafanya biashara. ni ujinga na nia aibu kwa mwanao

6.anthony hajawahi kuongelea hili suala mtandao wala mbele za watu pia hana mpango huo maana ni mtu mziama anajielewa haswa mbali na upole wake, lakini mimi nitahakikisha umerudi katika mstari sawa na wanawake wenzio
7. binafsi naona kama kuachana kwenu imekuwa dili la kutengeneza pesa, wachumba wengi wameachana lakini sikuwahi kuona mwanamke analipwa kiasi hicho sawa nia mshahara wa wachezaji wakubwa hapa ulaya, najua utarudi katika njia sahihi kwa ajili ya mtoto wenu Peyton. ila simama na useme ukweli mashabiki wako wa instagram hawatakusaidia chochote zaidi ya umbea na ufahari wa kijinga
Mbali na hayo mrembo mmoja kutoka uingereza ajuliknae kama Emily Wademan nae alidai kuwa tayari alishalala na mchezaji huyo na aliongeza kuwa tayari wachezaji wanne wa Man utd nick powell, Adnan Januzaj na Jesse Lingard wote walikuwa akimsumbua wakitaka kulala nae.

![]() |
| Melanie Da Cruz |

Leave a Comment