YALIYOJIRI VIJIWENI ULAYA, WENGER ATAJA MIKAKATI YAKE, CHELSEA YAMPANIA LUKAKU, MOURINHO ATETA,
Habari za huko ulaya kwa ufupi...
YALIYOJIRI VIJIWENI ULAYA
Xavi amedai kuwa PEP guardiola anaweza kuibadilisha ligi kuu ya EPL,
Antonio Conte amesema yupo kwenye wakati mgumu baada ya John Terry kuumia mguu...
.
Claudio Ranieri amedai, waamepokonywa ushindi tu dhidi ya Man utd, hivyo walipaswa kushinda licha ya kupoteza taji hilo la ngao ya hisani.
Wenger amesema wanategemea kusajili beki mwingine mara baada ya Gabriel Paulista kuumia goti kwenye pambano dhidi ya Man City pambano lililoisha kwa arsenal kupata ushindi wa Goli 3_2
Januzaji amjia juu Mourinho baada ya kupelekwa kikosi cha watoto
Klopp amewaondoa wasiwasi mashabiki wa liverpool baada ya kusema Jeraha la Grujic Marko sio kubwa.
Inasemakana huenda Diego Costa akaelekea Napoli au Inter Milan baada ya atletico Madrid kujitoa kwenye mbio za kumwania mshambuliaji huyo.
Taarifa zinasema kuwa Pogba ataingiza faida ya Million 40 kwa msimu wake wa kwanza Old trafford
Bado harry Redknapp amesisitiza itakuwa ngumu kwa liverpool kuwania nafasi za juu za msimamo wa ligi
Carlos bacca metofautiana na klabu yakeya Ac milan baada ya klabu hiyo kutangaza kuwa mchezaji huyo atajiunga na West Ham, huku mchezaji huyo akiknusha taarifa hizo.
Jose Mourinho amedai United haipaswi kuona aibu kwa kumnunua Pogba kwa kiasi kikubwa cha fedhai
Leave a Comment