BASTIAN ATUMA SALAMU, MOYES AZIDI KUTETA, GUARDIOLA VITAN TENA

Wakala wa Yahaya Toure amjia juu Pep Gaurdiola. Aiomba Man city kuingilia kati suala hilo

nho


Arsene Wenger


Conte akiri kuwa wana hali ngumu msimu huu baada ya kichapo cha magoli matatu kutoka kwa arsenal.

West ham wasubiri maajabu kutoka kwa Dimitri Payet. Wategemea mipira ya adhabu kuwakomboa

David moyes alazimika kuwaomba wachezaji wake kujitoa kwa moyo wao wote.

Brendan Rodgers asema hakuwa na shida na sterling


Guardiola kitanzini kupambana na tottenham.. huu ni mtihani wa pili kwake baada ya kuifumua Man utd 2 1 uwanjan old trafford

Buyern Munichen yamnyatia Jurgen klopp kuchukua nafasi ya ancellot


Koc


ha wa Watford ampigia chapuo mshambuliaji wake Deeney kuitwa timu ya taifa ya England


Alan Pardew afurahia kiwango cha klabu yake.


Bastian atuma salamu za pongezi kwa ushindi wa Man utd licha ya kutemwa kwenye mipango ya Jose Mouri



No comments

Powered by Blogger.