DEFOE AMEKUWA MUHIMU SANA LAKIN MUDA WAKE NA ENGLAND UMEENDA
DEFOE AMEKUWA MUHIMU SANA LAKINI MUDA WAKE UMEENDA
Na Admila Patrick
Msimu uliopita Jermain defoe alicheza eneo muhimu na kuifanya Sunderland iendelee kuwepo katika ligi ya uingereza,magoli yake 15 ya ligi yalifanya amalize nafas ya tatu nyuma ya Sergio Aguero,Jarmie Vardy ambao walilingana idad ya mabao ya kufunga 24 na Harry kane ambaye alikuwa mfungaji bora akiwa na idadi ya mabao 25.Defoe mwenye umri wa miaka 33 alitegemea angeitwa na kocha Roy hodgson ili kushiriki mashindano ya Euro yaliyofanyika mwaka huu,Haikuwashangaza wengi kutoitwa kwa Defoe maana ukiangalia tayari Roy alikuwa na washambuliaji wawili ambao walikuwa msimu mzuri kabsa(Jarmie Vardy na Harry kane aliyekuwa mfungaji bora wa msimu wa 2015/2016,
Hata hivyo ukiangalia upande mwingne defoe alistahili kuitwa kwasababu alikuwa na magoli 12 mbele ya kinda wa Manchester united Marcus Rashford na magoli 7 mbele ya Rooney ambao wote walichaguliwa badala ya defoe kwenda Euro 2016,Nadhan Roy alikuwa na jeuri sababu alikuwa na top scorers wawili,,Hilo lilipita na baada ya mashindano ya Euro kumalizika Defoe alipata jeraha wakat wa maandalizi ya msimu mpya akiwa na klabu yake ya Sunderland nchini Ufaransa na aliumia zikiwa zimebaki wiki mbili msimu mpya uanze na alimpa wasiwas kocha aliyeteuliwa David Moyes.
Baada ya defoe kupona ilikuwa ni habari njema kwa mashabiki wa Sunderland na hofu iliisha lakin Je, hata kocha mpya Big Sam wa team ya Taifa?Weng wanaona inatosha kwa defoe kuitwa tena timu ya taifa lakn mim naona defoe ana nafasi ndogo ya kuitwa team ya taifa kwasababu tayari Roy ana Rashford na harry kane na pia hata Vardy anategemewa sahau kuhusu Rooney, Big sam ana options nying au uchaguzi wa aina nying na haoni kama Defoe ana umuhimu mkubwa kwa sasa maana ukiangalia umri wake ana maika 33 ukilinganisha na Vardy ambaye ana 29, Kane ana miaka 24, Na Rashford ana miaka 19 tu,Huu ni wakati wa Defoe kuachana na team ya taifa maana he has nothing special(hana jipya)unategemea Defoe aipeleke England kwenye world cup? Ni kweli umri n namba tu lakn unategemea Defoe ataipa nini zaidi kwa kipind hiki, Alipaswa kuachana na team ya taifa mara baada ya kushindwa kujumuishwa katika euro 2016,,na kingne Rooney amesema kwamba mpaka 2018 ndo ataachana na team ya taifa,,Nilitegemea kauli hiyo ya Rooney ingebadili mawazo ya Defoe lakin bado Defoe anaamin anaweza kumkosoa Big Sam,,Mashabiki wa Sunderland ndo wanampa faraja zaid na wana matumain ataendelea kuwapa magoli.
Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha,,,Defoe hana cha kuwashangaza waingereza,Ni kweli amekuwa mtu muhimu na msimu uliopita alichaguliwa kama mchezaji bora wa msimu katika klabu yake ya Sunderland na tarehe 09 June mwaka huu alisaini mkataba mwingne mpaka 2019 na ni baada ya kuisaidia Sunderland kubaki ligi kuu na kufunga mabao 15 msimu uliopita na hata baada ya kutoka majeruhi defoe akiwa chin ya meneja mpya David Moyes alifunga goli katika mechi ufunguzi wa ligi dhid ya Man city ambayo walipoteza 2-1.Defoe anaamin hajachoka bado ana kitu cha kumfurahisha Big Sam wa England lakn naona kabsa defoe asahau kuitwa maana sion cha ajabu anachoenda kuwafurahisha waingereza ni bora awaachie akina Raahford wajaribu kuwafurahisha waingereza.
Leave a Comment