WAJUE MASTAA WANAOLIPWA MISHAHARA MINONO YA UCHINA

Ezequiel Lavezzi
30-miaka | Argentina
Ada ya uhamisho: $6.1 million klabu aliyotoka PSG (mkataba unaisha mwakani)
Mshahara: $16.8 million kwa mwaka

2.Gervinho
28-miaka | Ivory Coast
Ada ya uhamisho: $20 million klabu aliyotokea Roma
Mshahara: $9.7 million kwa mwaka (hii ni mara tatu ya mshahara wake wa Roma)
Klabu: Guangzhou Evergrande

3. Jackson Martinez
29-miaka | Colombia
Ada ya uhamisho: $45.8 million klabu aliyotokea Atletico Madrid
: $14 kwa mwaka

4.Paulinho
27-| Brazil
: $15.7 klabu aliyotokea Tottenham
Mshahara: $6.3 million kwa mwaka
Klabu: Jiangsu Suning FC


Ramirez

5.Ramires
28-years-old | Brazil
Uhamisho: $36.7 million
Klabu aliyotokea Chelsea
Mshahara: $14.5 million kwa mwaka


Teixeira

6.Alex Teixeira
26- | Brazil
Uhamisho: $55.6 million alipotokea Shakhtar Donetsk
: $11.5 million kwa mwaka
Klabu: Shanghai Shenhua


7.Demba Ba
30-miaka | Senegal
Uhamisho: $15.7 million klabu Besiktas : $6.7 million kwa mwaka

8.Fredy Guarin
29-mwaka | Colombia
Uhamisho: $14.5 million klabu Inter Milan
Mshahara: $8 million kwa mwaka


No comments

Powered by Blogger.