NI MANCHESTER DERBY YA GUADIOLA NA MOURINHO TENA.

NI MANCHESTER DERBY YA GUADIOLA NA MOURINHO TENA.                                                    Na Admila Patrick                                          Kuelekea Manchester derby kuna mbinu ambazo makocha wanaamin wakitumia bas wanapata matokeo Kwa upande wa pep anapenda kuwa na kiungo mmoja amabaye anakaa deep,na mara nying pep hata akiwa barcelona alipenda kumtumia Sergio bosquet kama holding midfielder, alipoenda Bayern munich pia alimtumia Xabi Alonso, na pia amekuja city anaprefer fernandinho kama silaha yake muhimu,,lengo la hii mbinu ni kushuka nyuma na kuleta mpira kutoka kwenye safu ya ulinzi ambayo inatengeneza bembe tatu(Tria ngle) na mabeki wa kati ndo mara nying hutumika sana,, Mbinu hii ya Guadiola ni kuwafanya wchezaji kucontrol mchezo na kucheza soka safi la kushambulia zaid yan mpira unapofika katikati ya uwanja kila mchezaji anakuwa na akili ya kushambulia huku team ikicheza kwa high tempo au speed ya hali ya juu,pass nying na kuonyesha creativity au ubunifu hasa wanapofika eneo la tatu na la mwisho, kiufupi hii mbinu inaitwa (Offensive minded) Ndomaana pep anapendelea hata kipa aanzishe mashambuliz na awe na uwezo wa kupiga pass,kipa anaanzisha pass mabeki wawili wa kati wanapokea mpira huku wakitengeneza triangle na kiungo mmoja anayebaki deep,yan lazma mabeki wapige pass na kipa akichaanzisha mashambuliz bas hakuna pass yoyote ya nyuma utakayoion(back passes) kila mchezaji anawaza kupokea mpira na kupiga pass inayoenda mbele. Kwa upande wa Jose,,yeye kama kawaida lazma awe na viungo wawili ili kufanya team icheze kwa kujilinda muda wote,na team nzima inakuwa inafikiria kujilinda,ukiona mourinho anaongoza huwa anapenda asiruhusu goli na kila mchezaji arudi kusaidia ulinzi,kama ni winger bas arud kumsaidia beki namba 3 au 2, kadri muda unavyozid kwenda na team yake bado inaongoza bas anawapa wachezaji akili ya kulinda zaid sion kushambulia, mbinu ya mourinho inaitwa (defensive minded) Pamoja na hizo tactic au mbinu wanazotumia walimu ila huwa kuna wachezaj wengne wanategemewa, pep anamtegemea silva kama mtu anayeamua team ishambulie vipi, na man city huwa hawapigi mpira mirefu wao wanapenda pressing game, na Mourinho asitegemee fellain anaweza kumuokoa kwa mipira mirefu na mourinho anajua namna atakavyofanya,Huwez kumtegemea sana kiungo mkabaji kama fellain awazuie wachezaji wenye vimo vifupi na wanapiga pass za harakaharaka huku wakilisogelea lako,fellain nayeye sometimes ana mechi zake,amekuwa muhimu sana kwenye mechi za mourinho za hivi karibuni lakin nafsi inaniambia kwa aina ya mpira wanaocheza city bas unaweza usimuone fellain, Man city hawajazoea soka analolitaka Pep guadiola na mara nyingi wanachoka kuanzia dakika ya 70 maana city wamezoea kucheza pass chache, na wakichoka inaweza kuwa hatari kwao,Ukitaka kuamin angalia city wanavyoanza na wanavyomaliza ni tofauti,wanachoka ila taratibu watazoea mfumo wa Guadiola na kila mchezaji atazoea na ndomaana Pep amekuwa akisisitiza suala la uzito wa wachezaji, Akina nasri wako wapi? Anataka wachezaji wanaonyumbulika yana wepes mno kufanya maamuz,,                                                                

Kukosekana kwa Kun Aguero ni pengo kwa city ,ila mtu muhimu zaid ni David Silva,huwez kuona movement za Aguero kama silva hayupo,anairahisha kaz ya Guadiola
Kuna mambo mawili yataamua matokeo yaweje,kama mourinho atataka kuwadhibiti city bas ahakikishe kuna mtu anayevunja mipango ya silva,ahakikishe mipira isifike kwa silva na hata ikifika bas isiwe na madhara,Pia kama pep atataka kushinda bas fernandinho na mabeki wa pemben wa man city wasiruhusu cross yoyote inayoenda kwa Ibrahimovic maana mabeki anaokutana nao hawana nguvu na sion warefu sana,


No comments

Powered by Blogger.