NI USIKU TENA WA WENDNESDAY NIGHT FOOTBALl YANI USIKU WA LIGI YA KLABU BINGWA BARANI ULAYA
Na Admila Patrick RATIBA YA MECHI INAENDLEA TENA USIKU WA LEO
MANCHESTER CITY Vs BORUSSIA MOGLABACH
mechi hii ya kundi C" ilitakiwa ichezwe jana ila iliahirishwa
Mechi nyingne zitakazochezwa ni
Kundi E: TOTTENHAM Vs MONACO
LEVERKUSEN Vs CSKA MOSCOW
Kundi F:LEGIA Vs BORRUSIA DORTMUND
REAL MADRID Vs SPORTING CP
KUNDI G:FC PORTO Vs KOBENHAVIN
CLUB BRUGGE Vs LEICESTER CITY
KUNDI H: JUVENTUS Vs SEVILA
LYON Vs DINAMO ZAGREB
Mechi zote zitachezwa Saa 3:45 usiku
Leave a Comment