RATIBA YA KOMBE LA LIGI NCHINI UINGEREZA (CAPITAL ONE CUP)

Dizzo Pepe Jr

Nimekusogezea ratiba ya ya kombe la ligi nchini Uingereza (Capital One Cup) ikiwa ni mechi za mzunguko wa tatu zitakazo zinakazochezwa leo jumanne mishale ya saa 3:45 usiku kwa masaa za afrika mashariki.

Bournemouth v Preston
Brighton v Reading
Derby v Liverpool
Everton v Norwich
Leeds v Blackburn
Leicester v Chelsea
Newcastle v Wolves
Nottm Forest v Arsenal

No comments

Powered by Blogger.