RATIBA YA MZUNGUKO WA NNE WA KOMBE LA LIGI NCHINI UINGEREZA
Na Dizzo Pepe Jr
Hii hapa ratiba ya mzunguko wa nne wa wa kombe la ligi pale nchini Uingereza. Baada ya michezo ya raundi ya tatu iliopigwa juzi na jana katika viwanja mbalimbali nimekuletea ratiba kamili ya raundi inayofata michezo ambayo itachezwa tarehe 25 ya mwezi utaofata.
Arsenal v Reading
Bristol City v Hull
Leeds v Norwich
Liverpool v Tottenham
Man Utd v Man City
Newcastle v Preston
Southampton v Sunderland
West Ham v Chelsea
Leave a Comment