UTATA WA NIYONZIMA

Haruna Hakizimana Niyonzima Rasmi amaliza Utata kwenye mitandao:

Aliyekuwa mchezaji wa Young Africans SC kiungo nambari nane kutoka Rwanda na mchezaji wa timu hiyo ya taifa Haruna Niyonzima Jioni ya Leo ameingia mkataba wa miaka miwili na club ya RAYON SPORTS FC inayoshiliki ligi kuu huko nchini kwao , team hii ya Rayon ilicheza na Azam FC juzi kwenye mchezo wa kirafik na kufanikiwa kuwafunga Azam bao 4/2 .. Haruna niyonzima ambae alikua kwenye midomo ya wanasoka wengi na mashabiki wa timu mbalimbali leo hii ameacha taharuki kubwa baada ya kujisajili kwnye club hiyo huko nchini kwao.

Media mbalimbali zilieleza kuhusu mchezaji huyu alitegemewa kutua club ya Wekundu wa msimbazi Simba Sports Club baada tuu ya kuachana na club yake ya mwanzo Dar Young Africans, Lakin Leo hii amewaacha watu wengi midomo wazi baada ya kudhibitisha kuwa msimu 2017/2018 na 2019 hata shiriki ligi kuu nchini Tanzania bara!!

*Umzaniae Ndiye, Kumbe siye* Ni maneno ya Haruna Hakizimana Fadhil Niyonzima baada ya kurudi kucheza soka nchini kwao!!

SOURCE TBC MICHEZO::

UFAFANUZI

chanzo whatsapp group

Jamani acheni huu mjadala kabisa. Nimewapa ufafanuzi kuhusu hilo swala, narudia tena, Niyonzima kiungo wa Rayon Sport sio Haruna. Huyu kijana anachezea Rayon Sport tangu 2015.Jina lake ni NIYONZIMA OLIVIER SEIF,tafadhari acheni mjadala huu

No comments

Powered by Blogger.