SHAW USITAKE KUONEWA HURUMA Saturday, October 28, 2017 San Andy Wakati nakua (kipindi cha balehe) nilikuwa na msichana fulani hivi tukaenda enda baadae kuna jamaa akaja akamchukua yule msichana ...
ANACHOTAKA WENGER KINAPOTEZA ALICHO NACHO Sunday, October 22, 2017 . Na San Andy Arsene Wenger sidhani kama kuna mpenzi wa sokka la ulaya kwa karne hii ya ishirini na moja ambae halifafahamu jina hilo,Ndio...
HOSPITALI WALIOZALIWA TUKUYU NDIO HIYO HIYO WATAKAYOFIA JACARANDA Wednesday, October 11, 2017 Watu wangu wa MBEYA ugwe gu wandu wangu? Sijui nmepatia ama lah. Kila mtu mbeya ni BIG hata kama una mwili kama wa kwangu unaitwa BIG tuach...
MAYWEATHER NA PACQUIAO TENA? Monday, October 09, 2017 Na Priva ABIUD Mbwa siku zote anakula kwa uwezo wa kasi yake, nguvu yake na pumzi yake. Mara nyingi mbwa hata asipokuwa na akili ataishi vi...
NYOTA INAYO ANDAMWA NA WINGU Thursday, September 21, 2017 Na San Andy Usiku wa september ishirini kuamkia ishirini na moja klabu ya Borussia Dortmund inaandika rekodi ya kufunga magoli 3000 katika ...